1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S5 Desemba 2016

Waziri Mkuu wa Italia, Matteo Renzi anatarajiwa leo kujiuzulu, baada ya kushindwa katika kura ya maoni iliyofanyika jana Jumapili// Wapiga kura nchini Austria wamekataa kumchagua Norbert Hofer mgombea anaaelemea siasa kali za mrengo wa kulia// Madaktari na wauguzi nchini Kenya wameanza mgomo rasmi baada ya mazungumzo kati yao na wizara ya afya kugonga mwamba.

https://p.dw.com/p/2TkLO