Kamati ya Olympik ya Kimataifa inasema mji wa Munich wa Ujerumani umejiandaa vizuri kuwania kuwa mwenyeji wa michezo ya Olympiki majira ya baridi 2018