Mkutano wa kiuchumi Duniani -World Economic Forum kwa Afrika umeingia siku yake ya pili hii leo mjini Durban Afrika Kusini// Zimebakia siku nne tu kabla ya duru ya pili ya uchaguzi mkuu nchini Ufaransa// Katika mazungumzo na rais wa Palestina Mahmoud Abbas rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kupata amani mashariki ya kati.