1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.03.2018: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
4 Machi 2018

Utakayosikia kwenye matangazo haya, ni pamoja na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuongoza kwa awamu ya nne baada ya chama cha Social Democrats, SPD kuridhia mseto, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aitumia salaamu za pongezi Ujerumani, na Umoja wa Mataifa wasema mashambulizi yanayofanywa na serikali nchini Syria hayakubaliki.

https://p.dw.com/p/2tfrP