1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S3 Machi 2017

Mataifa ya magharibi huwa yanahusisha uhusiano mgumu kati ya Iran na Saudi Arabia na mzozo wa kimadhehebu baina ya kile kinachoitwa Mawahabi na wapambanaji wa Kishia// Muungano wa makundi ya wa upinzani nchini Burundi CNARED umepata mwenyekiti mpya, Charles Nditije// Miongoni mwa wahamiaji waliosafiri kuvuka bahari ya Mediterani kuingia Ulaya 2016, karibu 10,000 walikuwa kutoka Senegal.

https://p.dw.com/p/2YZx0