1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.02.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S3 Februari 2017

Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo nchini Malta// Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel amekutana na mwenzake wa Marekani Rex Tillerson pamoja na makamu wa rais wa nchi hiyo Mike Pence mjini Washington// Ziara ya Kansela Angela Merkel nchini Uturuki imekuja katika wakati mgumu.

https://p.dw.com/p/2Wv3j