1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S3 Januari 2017

Baadhi ya viongozi barani Afrika wamebadilisha katiba ili kuwawezesha kuendelea kusalia madarakani// Mgombea urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron amesifu hatua ya Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwapokea mamia ya maelfu ya waomba hifadhi// Huku siku za kuapishwa kwake kuwa rais wa Marekani zikikaribia, Donald Trump anaonekana kujishughulisha mno na siasa za nje za taifa hilo.

https://p.dw.com/p/2VBWM