1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.12.2016 Matangazo ya asubuhi

V2 / S12S2 Desemba 2016

Ujerumani imetwaa uwenyekiti wa kundi la mataifa yaliyoendelea na yanayoinukia kiuchumi duniani la G20// Wananchi wastahiki wa Italia wanapiga kura katika zoezi la kura ya maoni ambayo huenda ikalitumbukiza taifa hilo katika mkwamo wa kisiasi// Muhammad Yunus amesema pengo linalozidi kati ya watu matajiri na maskini duniani ni mithili ya bomu linaloweza kulipuka wakati wowote.

https://p.dw.com/p/2TcED