1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.11.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Novemba 2016

Ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi na ushawishi wa familia tajiri ya Gupta katika serikali ya rais Jacob Zuma imetolewa muda mchache uliopita// Chuo kikuu cha Makerere cha fungwa kwa muda usiojulikana// Vikosi vya Syria na vile vya Urusi vitaweka silaha chini kwa muda wa masaa 10 ijumaa inayokuja// Wagombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa Marekani wanaendelea kuchuana vikali.

https://p.dw.com/p/2S33M