1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S2 Juni 2017

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amesema Ujerumani itaendelea kuunga mkono mkataba wa kimataifa wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi// Marekani imemuwekea vikwazo mshauri mkuu wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo// Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linapiga kura leo kuamua kuhusu mapendekezo ya Marekani na China kuwawekea vikwazo maafisa zaidi wa Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2e2H2