1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S2 Machi 2018

Shule nyingi zinapofunguliwa mwezi huu kwa muhula mwingine, sekta ya elimu nchini Sudan Kusini inakabiliwa na changamoto nyingi// Serikali ya Rwanda imeyafunga makanisa zaidi ya 700 ya kipentekoste mjini Kigali// Wimbi la uhalifu ikiwemo utekajinyara na mauaji nchini Uganda umelazimu mamlaka ya mawasiliano ya nchi hiyo kutangaza masharti makali kuhusiana na usajili wa kadi za simu za mkononi.

https://p.dw.com/p/2tYvh