1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.06.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Juni 2017

Rais wa Marekani Donald Trump atatangaza leo iwapo ataiondoa Marekani kutoka kwenye makubaliano kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yaliyoafikiwa mjini Paris, Ufaransa// Waziri Mkuu wa China lI Keqiang leo hii ametowa wito wa kuwepo kwa juhudi za pamoja kuregeza masharti ya biashara na uwekezaji wakati akiwa katika ziara yake nchini Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2dz1K