1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kevin-mfano Ivory Coast wa kizazi kipya cha jeshi la polisi

27 Julai 2017

WaIvory Coast wanaliangalia jeshi lao la polisi kama watu walaghai na wala rushwa wakubwa wasiostahiki ushirikiano na hilo ndilo tatizo linalomfanya kijana Kevin kupania kuibadilisha mitizamo ya wananchi hasa vijana kuelekea jeshi la polisi

https://p.dw.com/p/2hGhH